Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

Unachosema NI sahihi kabisa.
Lakini sio applicable Kwa mataifa kama yetu
Agreed nawe mkuu, uoga wenye kuogopa hadi vivuli vyetu ndio umetufikisha hapa, haya ni matokeo ya awamu ya kwanza ya utawala wetu, ulieneza uoga huu na sasa umetambaa hadi generation ya sasa, kuna wakati eti tiss ilikua kwenye top 3 hapa duniani, kukaa bar ilikua shida eti unahesabiwa umekula mishikaki mangapi!,mtu anauwezo wa kujenga good house in 12 mths, but atatumia 5 yrs kisa anaogopa tiss
 
Watu wa Dar mnapata tabu sana hakuna penye nafuu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu UK sio Bongo Tanzania ukijifanya mwanaharakati utakufa mapema na hata kwenye vitabu vya historia jina lako halitaandikwa
 
Mkuu UK sio Bongo Tanzania ukijifanya mwanaharakati utakufa mapema na hata kwenye vitabu vya historia jina lako halitaandikwa
Unfortunately na wewe unaogopa kifo kwa kupigania haki ya wote, inaonekana President Nyerere naye angeogopa kama wewe hadi leo Tanganyika tungeendelea kuwa under union jack, na kama mwoga acha kulalama humu
 
Nakubali. Na ndivyo tulivyo Watanzania wengi na wewe ukiwemo maana changomoto ni nyingi tunaishia kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii
 
Waandishi bwana! Nimecheka sana wakati nasoma japo si jambo la kucheka.

Kudos Mtibeli.
 
Serikali inayoshindwa mambo madogo kama haya inashangaza sana. Eti kuwa na mabasi ya kutosha tu inakuwa nongwa umbaki mabasi yanayotembea hauzi 20km.

Ni upumbafu sana, yaan ukipita kwenye vituo kimara mwisho, kivukoni, gerezani na pale msimbazi ni huzuni tupi dhidi ya hawa raia wema.

Hadi leo njia ya Mbagala haina magari na hakuna kinachoendelea. Inasikitisha sana.

Mkurugenzi ametoweshwa, hata huyo aliyepelekwa hakuna anachokifanya.

Labda tuwape JWTZ watatuletea hata magari yao ya kule Nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…