Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

Kwanza punguzeni kuzaliana kama panya, pili wengine hamieni makwenu ili jiji lipumue.
 
Nakubali. Na ndivyo tulivyo Watanzania wengi na wewe ukiwemo maana changomoto ni nyingi tunaishia kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii
Nope mkuu,soma comments zangu zote Nkanini halalami kabisa
 
Mwendokasi ni kisanga.Kuna mama pale Kimara Korogwe alivunjwa mguu.Alisukumwa mguu mmoja ukaingia pale kwenye kiuwazi kati ya mlango na pa kupandia.Hadi leo anatembelea magongo
 
Serikali inabidi iingilie kati aisee.Kuna dada pale Korogwe alivalia sketi ndefu hadi chini ila zile zenye mpira kiunoni.Bahati mbaya kwenye ngijangija mtu akaikanyaga,kapiga yowe wapi.Mpaka vuruga inaisha ile sketi iko chini dada wa watu kabakinna nguo ya ndani tuu.Ile fedheha tukamwacha kituoni analia hata gari hakupanda maskini.
 
Usafiri umenifanya nichukie sana kuishi kimara na Mbezi
 
Usafiri umenifanya nichukie sana kuishi kimara na Mbezi

Sasa hiyo njia raha yake ukishapanda mwendokasi hautamaliza dakika 45 utakuwa umefika kituo unachoshukia.
Sehemu zingine kama Gongo la Mboto, Mbagala, bunjua, n.k. foleni lake sio poah mpaka ufike sio chini ya saa moja na nusu
 
Tumia hiyo kama fursa ya kufanya mazoezi, kwa kutembea
 
mkuu kwani huyo dingi aliebanwa sana na nyomi la watu kiatu chake alikipata [emoji28][emoji28][emoji1] unajua kuna vitu vingine vya ovyo sana [emoji23][emoji23]

Eti akiingizwa pole pole na Kani msuguano ya watu huku macho yakimtoka [emoji28][emoji23]
 
Ferri kwenyewe umeona watu walivyokuwa wengi?
Hali ni mbaya

Kuna gari huwa zinatoka level seat Ferri zinaondoka ,lakini bado watu wa posta na jiji na fire ni wengi mno,gari haitoshi ukizingatia gari moja linakuja baada ya nusu saa.
Siku baada ya mishe nikaona leo sichukui taxi wala bajaj ngoja nionje mwendokasi.
Duh kilichonikuta,
Nilipandia posta aisee kwanza busi liko top,alafu watu wana mindoo ya samaki yananuka kweli mle ndani.
Nikaona hii ni marufuku tena.
Ilikua nifike migo tu nilambe usafiri wangu nirudi home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…