Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema


LATRA wanataka magari yenye mamba DZA kwenda mbele kuingia mjini. Subiri sera Yao ipate baraka za mama.
 
Ulipaswa kupata kilema kiwe ushahidi, bila hivyo nani atakuamini nchi hii wao wanapanda V8.
 
Poleni wakazi wa DarSalama! Kama biashara ina wateja kiasi hicho, uwekezaji zaidi ungekuwa na tija, wamiliki au waendesha huo mradi hawaoni?!
 
Poleni wakazi wa DarSalama! Kama biashara ina wateja kiasi hicho, uwekezaji zaidi ungekuwa na tija, wamiliki au waendesha huo mradi hawaoni?!

Wangeweka ushindani. Nafikiri tatizo lingepungua
 
Pole sana mkuu, ungeweza hata kufa maana usafiri ule ni kama jehanam, kwakweli katika miradi ambayo serikali imefeli pakubwa ni huo, yaani fikiria abiria wapo wengi wakutosha na hakuna tatizo la abiria lakini mabasi hawanunui na wanategemea mradi huo huo wapate hela, kuna namna watu weusi akili zetu zina matatizo makubwa. Mungu atusaidie tu ndiomaana Trump alisema wazi kabisaaaa tunatakiwa tutawaliwe upyaaaa.
 
Mwaka Jana nilikuwa pale kimara nasubir mwendokasi ya gerezani wakati nasubir bus nilikuwa malalamika lkn baadhi ya wakazi wa kimara walikuwa wananishangaa kumbe wao wameshazoea na ndiyo maisha Yao ya kilasiku.....
Ule usafirii sio aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Nashukuru sana sasa Taya limeacha kuuma
 
hii biashara walitakiwa waikabidhi kwa Mfalme wa DUbai kama vile Bandari, Kwa kweli kila kitu kimetushinda.
 
Unfortunately na wewe unaogopa kifo kwa kupigania haki ya wote, inaonekana President Nyerere naye angeogopa kama wewe hadi leo Tanganyika tungeendelea kuwa under union jack, na kama mwoga acha kulalama humu

Nyerere ni mpuuzi tu
 
Na katika Afrika mashariki imebaki Tanzania tu ndio ina watu wanyonge na waoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…