Juzi nimemtimua Mwanamke wangu

Juzi nimemtimua Mwanamke wangu

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, Manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana .....

Step alizokuwa anazipitia Manka ili anipige tukio.

1) aliniibia ufunguo mmoja wa kitasa cha mlango wa nnje.

2) alihakikisha kila anapotoka anaondoka na kitu chochote kitu hata kama ni nikijiko au kikombe.

3) alijifanya ananipenda saana ,na muda mwingine kujifanya ananihurumia sana😁😁😁....
Point tatu zilizonifanya nimuondoe manka' only in five day"

1) Akilala saa tano usiku kuamka ni saa tano asubuhi...

2) Hawezi kufanya usafi wowote wa nyumba mpaka umshurutishe...

3) Cha kwake ni cha kwake 😁😁 cha kwangu ni cha kwetu.
 
Shida kubwa ya akina manka ni umimi (ubinafsi) na Tamaa,

Kwa uzoefu,
Ukitaka kuishi na manka tumia akili kubwa. Ukiona ghafla mazoea yameongezeka au kupungua shtuka .
Kina manka kitupekee wanafikiria ni faida.
 
alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana ..... step alizokuwa anazipitia manka ili anipige tukio. ( 1) aliniibia ufunguo mmoja wa kitasa cha mlango wa nnje. ( 2) alihakikisha kila anapotoka anaondoka na kitu chochote kitu hata kama ni nikijiko au kikombe. ( 3) alijifanya ananipenda saana ,na muda mwingine kujifanya ananihurumia sana😁😁😁.... Point tatu zilizonifanya nimuondoe manka' only in five day" (1) akilala saa tano usiku kuamka ni saa tano asubuhi... (2) hawezi kufanya usafi wowote wa nyumba mpaka umshurutishe... ( 3) cha kwake ni cha kwake 😁😁 cha kwangu ni cha kwetu.
Ungempa moyo wako na si kumtimua.Ishi na msanii kiprofesa.
 
Back
Top Bottom