Tariqfinest
Member
- Jul 13, 2021
- 16
- 23
Your prediction ?Galaxy wako vzuri ila naimani simba itaanza vzuri
Kwa hiyo Simba makundi tena?Jwaneng Galaxy ni vibonde tu, na ikatokea mkafungwa basi mtakuwa mmefungwa na vibonde
Yaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasaKwa hiyo Simba makundi tena?
Kama nye mlivosema River United ni mabonde ,Sasa hivi mmebaki mnaimba taarabuJwaneng Galaxy ni vibonde tu, na ikatokea mkafungwa basi mtakuwa mmefungwa na vibonde
Aya sawaKama nye mlivosema River United ni mabonde ,Sasa hivi mmebaki mnaimba taarabu
Sawa redio mbao sijui redio ya mabox.Magori ambae ni mpambe wa MO alitudokeza safarihii Simba Ina timu Kali na imepata pre season ya kutosha. Bahati nzuri mpira unachezwa hadharani, kwenye Ligi tumesha iona Simba tunasubiri Klabu Bingwa Afrika.