Timu yangu mwaka huu ni matopolo no chemestry sijui preseason walikuwa wanajenga nini, too much back passes, sprinting wing forwards hakuna, shooters outside the books zero, akili za kushuti toka mbali zero, self initiated game temper/aggressive and speed zero hadi wafungwe ndio wanaamka, dakika 20 hadi 30 za first half wanacheza kichoko sana, kesho wajipange Galaxy haimwachi Simba salama, na hii ni Simba ya UD Songo. Wachezaji wenyewe wa kawaida na hawaonyeshi morale wenye kuakisi brand ya Simba, Kauli ya this is Simba imewadumaza kiakili. Mpira ni Science mara oooh wewe utakuwa Utopolo sawa tujipange kutokuwa Matopolo.