Walitumia miguuKwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!!
Hii team itakua kweli ilitumia uchawi kushinda dhidi ya wydad kama wanavyotuhumiwa. Hii team ni mbovu sana.
Angalizo inaweza kufuzu hili kundi ila sio kwa uwezo labda kwa mambo mengine ya nje ya uwanja. Hii team ni mbovu sana inacheza kama team ya shule.
Angalia mechi ya wydad na asec , hao asec hawajshinda kwa ngekewa wameupiga mpira kweli kweli na wakashinda.
Jwaneng galaxy hakuna team pale
Yeyote aliyeona Jana Simba kacheza vizuri Mungu amrehemu.Ukiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!
Mpira ni sayansi aise hamna kitu kinaitwa uchawiKwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!!
Hii team itakua kweli ilitumia uchawi kushinda dhidi ya wydad kama wanavyotuhumiwa. Hii team ni mbovu sana.
Angalizo inaweza kufuzu hili kundi ila sio kwa uwezo labda kwa mambo mengine ya nje ya uwanja. Hii team ni mbovu sana inacheza kama team ya shule.
Angalia mechi ya wydad na asec , hao asec hawajshinda kwa ngekewa wameupiga mpira kweli kweli na wakashinda.
Jwaneng galaxy hakuna team pale
Kumbe hata ww ulimchekKipa wa Gwaneng na mkitambi wake ule hadi bukta haimtoshi ,na kafanana na mchekeshaji mboto balaa