chikutentema JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 7,694 Reaction score 4,954 Jan 9, 2022 #101 Hatua Kali zitachukuliwa dhidi yao au hatua Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao? Tafakari
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 9, 2022 #102 Jeshi ni la Wananchi sio Rais.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,340 Reaction score 4,086 Jan 9, 2022 #103 mliberali said: Sawa yeye pia anawalipa kwa kaxi hiyo Click to expand... Hata sijakuelewa
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,340 Reaction score 4,086 Jan 9, 2022 #104 stev30sudi said: Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote![emoji1745] Click to expand... Kwamba unataka kusemaje?
stev30sudi said: Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote![emoji1745] Click to expand... Kwamba unataka kusemaje?
M mtolewa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 729 Reaction score 529 Jan 9, 2022 #105 muafi said: View attachment 2074043View attachment 2074045 Click to expand... Mmesema vema kabisa. Mtamtii na kumlinda mtawala ( rais) na si wananchi. Ingekuwa vema mkabadilisha maana ya JWTZ to be jeshi la watawala wa Tanzania
muafi said: View attachment 2074043View attachment 2074045 Click to expand... Mmesema vema kabisa. Mtamtii na kumlinda mtawala ( rais) na si wananchi. Ingekuwa vema mkabadilisha maana ya JWTZ to be jeshi la watawala wa Tanzania