Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wapuuzi sana wale jamaa.Mambo ya ukomavu kuvunja tofari kwa kicwa noma sana
Usiwafokee wapo mpkani wasije wakaacha mlango wazi majirani wakaingiaWapuuzi sana wale jamaa.
Umesemaa!!!Wapuuzi sana wale jamaa.
Duu we jamaaJeshi la kulinda mikundu ya watawala (JKMW)..wapasua matofali ya kuchoma kwa kichwa..nakazia wakome kama walivyokoma kunyonya titi za mama zao
Waache mara ngapi?Usiwafokee wapo mpkani wasije wakaacha mlango wazi majirani wakaingia
Well said.Kama wslishindwa kulinda wananchi hadi kilaza mmoja tu anaamua kufanya mauaji ya kutisha na wao wapo tu kama makuku ya kisasa hawapaswi kutuonesha ujinga ule wa kuvunja matofali.
Iwe mwanzo na mwisho.