JWTZ iwekeze katika teknolojia ya ndege zisizo na rubani(Drones)

Drone za nini wakati siku hizI watu wanawekeza kwenye amani ili kupunguza Gharama za vita.
ndo maana unaajiriwa jeshini hadi unastaafu ujawahi fyatua hata risasi.
 
Kila kinategemea uchumi wa nchi, mbali hivyo vitu vya kijeshi, kiwanda cha kuunda baiskeli nchi mzima kiko wapi.
Hata sijaelewa umeandika nini mkuu hilo jeshi wana kitengo cha kuuza trekta za kutoka nje badala ya kuuza trekta za kwao mwaka huu wa 2023....
 
Ngoja tumalize zoezi la kusaka gwanda kwanza...
 
Hata sijaelewa umeandika nini mkuu hilo jeshi wana kitengo cha kuuza trekta za kutoka nje badala ya kuuza trekta za kwao mwaka huu wa 2023....
Jeshi haliwezi kuendelea, kwenye nchi ambayo haijaendelea, ili kuwa na maendeleo kunahitaji uchumi imara.

Huwezi kuelewa kwa sababu wewe unajua mtu akiwa mwanajeshi tayari ana uwezo wa kuunda chochote, ungekua mtu wa kujiuliza ungejiuliza maprofesa wetu,;kipi wamekifanya. Ili nchi iwe na uchumi mzuri, ili kufikia ndoto zako.
 
Mkuu vitu ni malengo ukiwa na malengo na kitu hicho unaweza kufanya kitu chochote hicho ndicho nachoamini kama haujafanikiwa leo wapo watakaoendeleza hiyo idea maana hata tunavyofanya sisi raia sasa hivi tungesema hatuwezi kufanya kwa sababu tupo kwenye Nchi masikini tungedumaa mpaka leo...Nchi zote unazoziona zina mafanikio nazo zilipita huku tulipo...
 
Sisi kipi tumekifanya kitaje kimoajawapo.
 
Washindwe kuwekeza kwenye kukamata mitumba ? , Hao wapumbavu akili za kuwekeza kwenye drone wazitoe wapi ?
 
Wanawekeza kwenye kufungua bar na mafremu
 
Unazungumzia hawa wanaoshinda chini ya miti na kuangalia pono!??
 
Haina haja, kama ilivyo kawaida...tunasubiri hizo za Marekani, Ulaya na Asia zikishatumika sana

Watakuja kutuuzia hizo baada ya miaka 20 wao wakishagundua zingine bora zaidi

Tumeshazoea hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…