Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Ni vema na haki, lakini wawe makini na ndege zao za enzi za mwalimu.
Kwani ni lazima warushe ndege Dar wanaweza kufanya mazoezi sehemu nyingine zisizokuwa na msongamano ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea iwapo ndege za mwaka 47 zitadondoka.
Huu ni mwaka wa uchaguzi wa inawezekana wanataka kuwatisha wengi Wazee,kina Mama na baadhi ya wenye roho ndogo kuwa jeshi lipo na lipo chini ya Amiri jeshi mkuu Mkulu JK
TAFAKARI!...
Hayo mavifaa kwanini hayakutumika kwene mafuriko Kilosa..ama!
Mafuriko yaliwashinda kuokoa watu na mali, sasa hayo maonesho yanasaidia nini? hivi hawaoni majeshi ya nchi nyingine yanavookoa watu kwene majanga?Ni ya maonyesho tu mkuu....:confused2:
Ubovu wa ndege hizo na kelele kama milio wa radi kumbuka zinapita 2 hadi 3 kwa mpigo!,Mwaka 2006 zilikatiza juu ya Hospital ya TMJ,nakumbuka SINTONFAHAMU iliyotokea... Mkuu Nyunyu ile ya Kabuku-Manga sio ya kijeshi... Ila ni ya kawaida kabisa...
Wakazi wa Dar wametakiwa kutokuwa na hofu pale ndege za kivita zitapokuwa zikipasua anga la Dar kuanzia leo 25.08.2010 hadi 01.09.2010 kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kuadhimisha siku ya JWTZ mnamo 01.09.2010 sherehe zitakazofanyika katika kambi ya Navy Kigamboni... Mara ya mwisho kufanya zoezi hili ilikuwa mwaka 2006 katika kuadhimisha miaka 45 ya uhuru wa Tanganyika... Ninachoona...?? Huu ni mwaka wa uchaguzi wa inawezekana wanataka kuwatisha wengi Wazee,kina Mama na baadhi ya wenye roho ndogo kuwa jeshi lipo na lipo chini ya Amiri jeshi mkuu Mkulu JK TAFAKARI!...
Kwani ni lazima warushe ndege Dar wanaweza kufanya mazoezi sehemu nyingine zisizokuwa na msongamano ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea iwapo ndege za mwaka 47 zitadondoka.