TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Aug 26, 2010 #41 KakaJambazi said: Ufunguzi wa kampeni za Slaa utakua ruined apo. Click to expand... sina hakika, unless wawe wanaenda kupigia round hapo jangwani
KakaJambazi said: Ufunguzi wa kampeni za Slaa utakua ruined apo. Click to expand... sina hakika, unless wawe wanaenda kupigia round hapo jangwani
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,178 Reaction score 80 Aug 26, 2010 #42 Kwanini hata wasifanyie huko baharini bana?
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Aug 26, 2010 #43 Mi nadhani hawa jamaa watakua wamefanya shopping ya ndege mpya sasa wanataka kujionyesha...:glasses-nerdy:
Mi nadhani hawa jamaa watakua wamefanya shopping ya ndege mpya sasa wanataka kujionyesha...:glasses-nerdy: