Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Shukrani kwa taarifa ...Source:chanzo cha ndani jwtz-utawala(HQ-Upanga) Kwa mujibu wa chanzo husika hapo juu,napenda kuwafahamisha wale ndugu zangu wote ambao kwa muda mrefu sasa,wanahangaika kupata taarifa huku wakisubiri kwa hamu kubwa kujiunga na Jwtz.Kuwa kutokana na mabadiliko ya kimfumo na kimkakati jeshi linasitisha kwa muda recruitment kwa profesional graduates,na sasa linajikita zaidi kuwaendeleza askari wa ndani hasa kielimu,ili kuweza kushika nafasi mbalimbali za kitaalam jeshini,kwani inaonekana hawa ndiyo wana uzalendo wa kweli tofauti na graduates ambao wengi wao,wanaingia jeshini kupata vyeo na maslahi makubwa
kama unataka kuonana na mimi njoo hapa tabora mjini kwenye kota za jeshi nyuma ya tabora boys ukifika ni pmtafuta siku tuonane,alafu utakuja kuwaambia hao unaowadanganya hapa kuwa, mimi ni nani,pia uje ukiwa umevaa hizo gwanda zako za jeshi.
kama unataka kuonana na mimi njoo hapa tabora mjini kwenye kota za jeshi nyuma ya tabora boys ukifika ni pm
Huo ni upuuzi huwez kubana ajira kwasababu kama hizo.watu wanataka kazi bwana acheni ubinafs.mnasapot u masikini tu hapo
Hii taarifa sio ndio habari kamili, ni tetesi tu! Kuweni na Amani vijana!
Hacha kuwapa watu moyo wewe?waambie ukweli sasa hizo nafasi zitatoka lini?graduates wanaajiliwa kutokana na mahitaji,na siyo kila mwaka,hata zikijakutoka hakikisha kuwa una mtu wa kukubeba,bila hivyo mtaendelea kulalamika kila siku,sasa kama nafasi zinatoka 100.Kila kamanda anapewa special post 2 kwaajili ya ndugu au watoto wake,wewe utapata kweli,jipangeni mtakuja kuumbuka.
stori za magenge ya kahawa hizi ni uzushi mtupuuuhii taarifa sio ndio habari kamili, ni tetesi tu! Kuweni na amani vijana!
Source:chanzo cha ndani jwtz-utawala(HQ-Upanga) Kwa mujibu wa chanzo husika hapo juu,napenda kuwafahamisha wale ndugu zangu wote ambao kwa muda mrefu sasa,wanahangaika kupata taarifa huku wakisubiri kwa hamu kubwa kujiunga na Jwtz.Kuwa kutokana na mabadiliko ya kimfumo na kimkakati jeshi linasitisha kwa muda recruitment kwa profesional graduates,na sasa linajikita zaidi kuwaendeleza askari wa ndani hasa kielimu,ili kuweza kushika nafasi mbalimbali za kitaalam jeshini,kwani inaonekana hawa ndiyo wana uzalendo wa kweli tofauti na graduates ambao wengi wao,wanaingia jeshini kupata vyeo na maslahi makubwa
Wasomi jeshini mbona wapo kibao mpaka mda huu? Fungua chuo kikuu and you will get even professors wa kufundisha chuo chako wanaotoka jeshini. Watoto wangu mimi wanapenda kujiunga na jeshi baada ya shule. Tafadahali tunazihitaji hizo nafasi, kusoma hakuwezi kuzuia ajira mpya, kwa mfano wanaostaafu watakuwa replaced vipi sasa?
ulipatia hapo ndio umelikoroga.....Hata hivyo wengi wa Graduate wanaoingia sasa ni wale waliokosa kabisa kazi hivyo kutokana na ushindani wa ajira hujikuta wanakimbilia jeshini huku wakiwa na ufauluu wa kusua sua .........Napongeza mpango huo
ulipatia hapo ndio umelikoroga.....
hawaingia jeshi kwa sababu wana ufaulu wa kusua sua....Sijakuelewa hapo fafanua kidogo