Mwakitobile JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 452 Reaction score 120 Oct 15, 2012 Thread starter #81 Njowepo said: Nipo combania C platoon 3 section 1 Jeshi limekuwa kimbilio la watu sasa kama ata uko wanabana ajira si itakuwa issue sasa Click to expand... unaweza kutuambia hapa kwamba combania ni nini?au unaandika tu?
Njowepo said: Nipo combania C platoon 3 section 1 Jeshi limekuwa kimbilio la watu sasa kama ata uko wanabana ajira si itakuwa issue sasa Click to expand... unaweza kutuambia hapa kwamba combania ni nini?au unaandika tu?
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 806 Oct 16, 2012 #82 Nyote nyie wazushi
Mwakitobile JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 452 Reaction score 120 Oct 16, 2012 Thread starter #83 Gagurito said: Nyote nyie wazushi Click to expand... Endelea kujipa moyo,mwaka ndiyo unakwisha huu,umri unakimbia sana.Jipange upya mdogo wangu,acheni kuwa na ndoto mgando,maisha yamebadirika sana,mtaumbuka vibaya ndugu zangu.
Gagurito said: Nyote nyie wazushi Click to expand... Endelea kujipa moyo,mwaka ndiyo unakwisha huu,umri unakimbia sana.Jipange upya mdogo wangu,acheni kuwa na ndoto mgando,maisha yamebadirika sana,mtaumbuka vibaya ndugu zangu.