JWTZ mpaka leo imeshindwa kuajiri wasomi wenye vipaji halisi, sababu hizi hapa...

wasomi walikuwa wanafungwa kamba viunoni wanaburuzwa mstari wa mbele na ma koplo kwenye vita ya kagera, digrii yako ya sheria ipeleke polisi
 
Ondoa upuuzi wako hapa. Watz na majungu tu, fanya kazi, masuala ya jeshi waachie wenyewe.
 
Huyu anaonekana ni mwanajeshi ambaye ana frustration...kama jeshi imekushinda rudisha jezi za watu alafu rocharocha, jeshini wanatafutwa wapiganaji PHD sio sehemu yake pale na ata akiwepo kama mrema ni kwa ajili ya propaganda.:A S angry:
 
Thanks much Yericko Nyerere Moshe Dayan Mtumishi Wetu na wadau wengine kwa maelezo murua kabisa juu ya JWTZ.
Bila shaka tuna kila sababu ya kujivunia jeshi letu. Kama wasemavyo wazaramo, kazi ya jeshi kugangamala, wasomi mgangamale basi msitafute slope hata katika kazi adhimu kama ya jeshi.
 
Last edited by a moderator:

comrade,,, haya mambo hawajui ndio maana hua wanatoa kashfa sana, kuna wasomi na wamebobea hasa,, kwa mfano field engineers wengi wamesomeshwa nje kwenye vyuo vikubwa vya kijeshi,, yakitokea maafa, hawa mnaowadharau hua wanawajengea madaraja kwa siku mbili au tatu na baada ya hapo wizara ya ujenzi hujisahaulisha na madaraja haya hutumika miaka na miaka japo ni temporary.., kwa wale myopic hajui na daily anapita daraja la mlalakuwa

Baada ya mafuriko kilosa, nadhani mnakumbuka nani walijenga yale madaraja ya reli ya kati na in record time.., need we say more?
 
Hvi mshahara wa mtu mwenye shahada jeshni ni sh ngapi?
 

mshkaji umekuja n hasira! wajeda walikutema nini?
 
Duh yaani we Mbayaaaaaa..kumbe siku hizi Masters of Law ni LLB??? na LLM itakuwa ndio Bachelor of Laws eti!!! we hatareeeee, duh, hakika we ni Mkalleeeeeee

Ni mhitimu wa Kampala International University huyo!
 
Hapana kuchesea mali ya chesi muraaa
 

Asante mkuu, ninaamini jeshi letu ni imara tena sana!
 
Last edited by a moderator:
We Kilaza, an army is an institution of its own kind (sui generis) ,sio taasisi ya fedha au chama cha wafanyakazi, na TMA is a war college, the only thing people talk there is war and its killing machines, so stop the non sense.
 
Hvi mshahara wa mtu mwenye shahada jeshni ni sh ngapi?

Jeshini tunajito5ea mdogo wangu. Hatulipwi mshahara, thamani ya maisha ya wanajeshi ni that "Honor to serve"
 
none sense!

kwani lazima ajira upate JWTZ?mbona zamani ilikuwa sio ishu?kwanza jeshini watu hawaajiriwi,wanaandikishwa!ndio maana hakuna barua ya ajira wala hawasherehekei may mosi!Kama unatafuta maslahi nenda Geta Gold Mine,period.
"army can do without u,either u r educated or not"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…