JWTZ mpaka leo imeshindwa kuajiri wasomi wenye vipaji halisi, sababu hizi hapa...

kwa kuboresha jesh letu tufanye nini? au nini kifanyike?.coz wazalendo bado tupo na still tunalipenda jeshi letu.
 
Kazi ya mjeshi ni kumtambua adui, kumsogelea, kumuona na kumuua. Hizo masters zenu za LLB zinahitajika tu pale uwanja wa mapambano unaporuhusu kwamba hali ni shwari. Mikao ya kijeshi ni platuni, kombania, regiment, briged, divisheni, army na group ndani yake wanakuwepo makamanda na wapiganaji au maafisa na askari na sio maprofesa na laptop. Sasa kama mambo ndiyo hayo hizo masters za LLB haziwezi kuwa priority kwa kuwa hazijawahi kuua adui hata mmoja. Manyuklia, ma B-52, ma Foxbat, na armaents karibia zote zinatengenezwa na viwanda vya kiraia pia vfaru, deraya, mizinga, magari ya kivita. Wasomi wanaojisikia kinyaa kutambaa katika tope au kuswagwa na DS mwenye elimu ya darasa la saba anachoropolewa aende huko.
 

Vipaji vya ukweli jeshini ni vile vinavyoweza kusurvive katika mazingira magumu na kuwa tayari hata kufa kwa ajili ya kuokoa wengi. Si vile vinavyohitaji utulivu na mazingira huru kufikiri. Vipaji maalum jeshini hufikiri kwa kasi ya ajabu kwenye mazingira magumu kweli kweli na kutoa maamuzi sahihi. Zaidi ya hapo, usitake kukimbilia jeshini kwa sababu ajira ngumu, nyie ndo mnaliharibu jeshi letu.
 
A na B nimajibu yanayofaa ila jibu sahihi ni C
 
Kwa mtu mwenye shahada let say ya uchumi,anaweza kupangwa kwenye kitengo cha military inteligence?
 
Watu wanadhani mambo mepesi kiasi hicho. Na iyo mishahara mnayodanganyana ndio mnatiana mipovu. Sasa hivi wataalamu wenyewe wanazilia denge nafasi za JWTZ kupitia JKT. Sasa nyie subirini hadi mchoke. Watu wapo JKT then siku ya mwisho wameweka vyeti vyao hadi wajeda wenyewe wanapagawa.
 
allowansi 300,000/=,posho ya taaluma 250,000/-, salary 950,000/- by captain samiti mpigamsuli

Ala ivi kumbe..ngoja nitoke uku aisee niingie jeshini. Af kazimnapiga zinazoendana na mishahara au vp.
Na nini mtazamo wako..kwann polisi hawalipwi sawa na nyie..au magereza??!
 
Mkuu peleka majungu yako kulee kwenye vyama vinavyokufaa.
Nani kakwambia Geshi ni mahali pa wasomi, huko ni kwa watu wanaojitolea kwa harufu ya damu.

Uraiani kukikushinda usifikirie huko jeshini ndo mahali pa mteremko, mahali pa kuvalia suruali kifuani na machain shingoni.
Huko ni geshi bwana.
 
Mkuu ume summarize, huyo jamaa anafikiri jeshini ni mahali pa siasa.
 
Yaani una Master ya Law halafu unaiita LLB?!!!!:A S angry:

Hao macheki bobu wanaofikiri jeshini ni mahali pa kupiga stori, kupiga mabomu na hata mahali pa kutambia mitaani hao.
Hawajui hata qualifications zao za kufoji.
 
Samahani mkuu sikufukuzwa Monduli wala sijawahi kujiunga JWTZ na wala sitegemei sababu naitaji kuishi kwa uhuru bila kushurutishwa. HAPA MADA NI KUWA MPAKA LEO TATIZO NI NINI? HOSPITAL MNATEGEMEA URAIANI TENA KWA KUNYANYASWA, WENGI WENU MKIJA HUKU MNADAI ETI LUGALO HAKUJITOSHELEZI SHIDA NINI KAMA SIO HUO UNDAVA WA TMA? H UWEZI AJILI MTAALAMU KWA KUMLAZIMISHA AU KUMSHURUTISHA LA SIVYO MTAENDELEA KUPATA WATU WASIO COMPTANT, KAMA HUYO ANAYETAKA KUJA NA MASTER YA LLB! SOMA HISTORY THE MOST SCIETIST WALIKUWA WANATULIA NDIO MAANA MAENDELEO YAMEKUWAPO. KINGINE HUKO KWENU KILAZA ANAPEWA KUONGOZA WATU NA AKILI ZAO KISA KATEULIWA NA MKUU AU KAPENDWA NA WAALIMU JE NI SAHIHI KUPATA RIGHT PERSON HAPO. HAMUWEZI FANYENI RESEARCH MJUE KAMA MKO SAHIHI. SISI TUPO NJE YA UWANJA TUNAWAONA NA TUNAJUA SHIDA ZENU HAMTAWEZA KWA NJIA HIZO.
 
Yaani una Master ya Law halafu unaiita LLB?!!!!:A S angry:

Muulizeni Amim Agustino aka Mulugo (waziri) atawafahamisha kama hiyo ni LLM au ni LLB!
 

Kwanza kabisa nasikitika sana kwa kauli zako za kipumbavu na za mtu asiyeelewa kile anachokizungumzia. Wewe uko nje ya mfumo wa kijeshi unafahamu nini kuhusu jeshi wewe? Hivi unajiona wewe ni bora kiasi gani kuliko wasomi walioko jeshini? Kweli mjinga atabaki mjinga tu hata kama akipitia chuo. Hizo kauli ulizozitoa zinadhalilisha taaluma yako. Jeshi ni mfumo unaojiendesha kwa utaratibu wake, na ndio maana mtu anakuwa tayari kukutana na adui ambaye hata kama wewe ungekuja na kipaji chako (cha kupiga majungu??) ungeishia kupoteza fahamu. Hiyo peke yake ni profession, ambayo ina mfumo wake. Sasa kama unafikiri kuwa na vipaji maalum ndio kufit jeshini, ni heri ukafunga domo lako na ukamwaga heshima kwa watu waliojitolea kukulinda mburura kama wewe. Si tu kwamba hufai jeshini, ni kwamba hata kwenye ajira binafsi hutofaa kwa vile huna nidhamu na pia uelewa wako ni mfinyu mno. A fool at his best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…