Mwaka huu ndio unaelekea ukingoni, vipi zile nafasi za JWTZ professiònals mbona kimya?
Ulidhani masihara nilivyokwambia au siyo? Sasa mambo ndio hayo yanakuja kwa vitendo,lazima mtatubu tu wadogo zangu,kinachowaponza ni fikra mgando,hamna options za maisha kabisa,mtakuja kufariki kwa stress shauri zenu.

JWTZ professionals ndo nini we mtoto? hakuna kitu kama hicho kama ni professional unaipata jeshini na sio kabla, piga kwata, lenga shabaha, mambo mengine yatafuta we kuruta.
subiri mwezi wa pili ila uanzie jkt