JWTZ Professionals

Jamani ee!
Kwanini 2nacreate some damn stories???
Mimi mwenyewe mshua ndio kila k2 na accordn' 2hm usahil ni october! achen izo..
 
Daah!baab!mvumilivu hula mbivu,cha msingi ni kusikilizia upepo,maana hapa kuna wengine wanaleta mkanganyiko wa taarifa,sijui wivu, hawataki 2jue muda watakao toa taarifa za kujiunga na jeshi,hebu 2peane ukweli,wote 2nataka 2we wazalendo wa taifa le2,ukinibania kunipa information haitakusaidia chochote.
 

umeona eeh, kama huna information ya ukweli jst shut up watu tupo serious na kama unayo tena ya uhakika bc FUNGUKA
sio kupost tu ilimradi uonekane umepost
 
umeona eeh, kama huna information ya ukweli jst shut up watu tupo serious na kama unayo tena ya uhakika bc FUNGUKA
sio kupost tu ilimradi uonekane umepost

Mimi ni mdau mkubwa sana wa mambo hayo, na nafatiria sana habari hizo kwa ukaribu. Kwa taarifa iliyopo ya kweli ni kwamba tayari jamaa washachukua vijana kwa kupitia JKT na kitu ilipigwa kimya kimya kupitia Makao Makuu ya JKT, wenye ndugu zao wapo kambini mwezi m1 sasa. Tuvute subira tuone itakuwaje kwani kuna tetesi za Jwtz kuchukuwa vijana direct!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…