JWTZ /TPDF wako imara

Kambi ya kunduchi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Eneo la Kawe(Kawe City) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Makonda kasema acheni kuwasumbua mawaziri wake

Duh! Huyo jamaa hivi mbona ana kiburi kiasi hiki, "mawaziri wake", baraza ni lake, kuna matamko yanapaswa kusemwa na rais, kwa mfano "serikali yangu" nakumbuka siku walipishana na waziri wa afya kwenye kauli za nani atoe taarifa za mgonjwa wa Corona, Makonda alijibu akitumia maneno "waziri wangu"......
Mjiandae kwa rais Makonda siku za usoni.
 
Inasemekana jamaa ni naibu rais
 
Tpdf ni jeshi imara kwa Madoso labda .

Wasichokielewa watu kua jeshi watu wanafundishwa ushirikiano , hvyo basi ukimchukua mwanajeshi mmoja mmoja na kumlinganisha na raia bas utaona tofauti ndogo sana ambayo haiwez kuzuia baadhi ya mambo kufanyika ikiwemo kama hayo tunayoyaona ya uuaji wa maaskari wa jeshi na ubakaji.
 
Kama tpdf sio jeshi imara mbona nchi nyingi za ovyo zinatuzunguka lakini haziathiri amani yetu na pia sisi tuna ardhi kubwa na nchi nyingi za jirani wanataka hiyo ardhi lakini umeona nchi gani ikiletea shida tz.hii ni kwa sababu Tanzania ni nchi imara kiulinzi afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tz is surrounded by peaceful nations...except the drc , but lake tanganyika protects you
 
Umenielewa vzr point yangu??

Nilichomaanisha ni kuwa wanajeshi (TPDF)with exception makomando huweza kufanya kazi zao wakiwa kwa pamoja lkn akisimama mmoja hana tofauti kubwa na raia thus y wanafanyiwa mambo ambayo uraiani wakiwa mmoja mmoja wanachezea nying tu

Sijazungumzia kua ni jeshi ambalo halina nguvu au dhaifu naomba unielewe
 
tz is surrounded by peaceful nations...except the drc , but lake tanganyika protects you
Almost every countries that surround us want portion of our land.example Kenyans wanted our land to be east afrika issue but we refused.we are strong that's why no country can disturb us like what we did to Malawians s.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiamua kunyakua hamtatuzuia
 
No Kenyan wants your land...except the few Kenyans on JF, the rest don't give a rat's ass about TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ