We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 815
- 381
Ndugu wanzegu wa JF na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba JWTZ wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale Lugalo jeshini mida hii ya saa saba na nusu mchana, wanajeshi wa JWTZ walikuwa wanajifua pale ktk viwanja vyao. Nimesema hivyo kwasababu zana walizokuwa nazo ni zile zana ambazo hutumika kutuliza ghasia, kama vile virungu, ngao, machela na mabomu ya machozi. Nimewaona wakiwa na zana mpya kabisa, ukiziona zile ngao zao ni rangi ya silver, zinawaka kwelikweli. Nadhani yaliyosemwa si bure. Bila shaka vikosi vyote vitakuwa na zoezi kama hilo hapa nchini.
ndugu wanzegu wa jf na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba jwtz wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale lugalo jeshini mida hii ya saa saba na nusu mchana, wanajeshi wa jwtz walikuwa wanajifua pale ktk viwanja vyao. Nimesema hivyo kwasababu zana walizokuwa nazo ni zile zana ambazo hutumika kutuliza ghasia, kama vile virungu, ngao, machela na mabomu ya machozi. Nimewaona wakiwa na zana mpya kabisa, ukiziona zile ngao zao ni rangi ya silver, zinawaka kwelikweli. Nadhani yaliyosemwa si bure. Bila shaka vikosi vyote vitakuwa na zoezi kama hilo hapa nchini.
Hii thread haina maana sana wakati huu. Hawa wanajeshi wetu wako kwenye mazoezi ya kawaida kabisa na wala hayana uhusiano sana na uchaguzi. Hawa muda wote wanatakiwa wawe wenye utayari, sasa hapo ni kujaribu kuwakumbusha baadhi ya techniques za kupambana na ghasia. Hii haina maana kuwa uchaguzi utakuwa na ghasia. Habari kama hii kwa sasa ni kutaka kutisha watu, hivyo ninafikiri si busara sana kuindeleza hapa. Cha msingi ni kuwaacha watu wakachague viongozi wao kwa uhuru na haki bila kuwaandikia habari za vitisho. Hizi ni habari za magazeti kama mtanzania, Uhuru na Jamboleo. Kwa ushauri tu ni bora kuwapuuza watu hawa kuliko kuwapaisha. Asanteni sana
HII KALI!Kwa tetesi zizizopo ni kuwa siku ya uchaguzi hawa wanjeshi wanavaa Gwanda za FFU kwa hiyo ni vigumu kuwagundua.
HII KALI!
Watadhalilika, maana hakuna atakaeleta fujo, kazi ni moja kuimwaga ccm!
Ndugu wanzegu wa JF na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba JWTZ wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale Lugalo jeshini mida hii ya saa saba na nusu mchana, wanajeshi wa JWTZ walikuwa wanajifua pale ktk viwanja vyao. Nimesema hivyo kwasababu zana walizokuwa nazo ni zile zana ambazo hutumika kutuliza ghasia, kama vile virungu, ngao, machela na mabomu ya machozi. Nimewaona wakiwa na zana mpya kabisa, ukiziona zile ngao zao ni rangi ya silver, zinawaka kwelikweli. Nadhani yaliyosemwa si bure. Bila shaka vikosi vyote vitakuwa na zoezi kama hilo hapa nchini.
Kwa tetesi zizizopo ni kuwa siku ya uchaguzi hawa wanjeshi wanavaa Gwanda za FFU kwa hiyo ni vigumu kuwagundua.
wameshiba uji wa bure hao..mazoezi wamfanyie nani..Si waende Afganistan kama wao vidume....