JWTZ yaombwa kuchukua hatua haraka baada ya Serikali mkoani Kilimanjaro kushidwa kurekebisha daraja mto Rau siku ya tatu leo

Joined
Apr 19, 2020
Posts
12
Reaction score
2
Serikali mkoa wa Kilimanjaro,imeshindwa kurekebisha daraja lililosombwa na maji,na kuacha maelfu ya watu wakikosa huduma za msingi!

Daraja hilo limesombwa na maji,baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pia mafuriko kwa wakazi wa moshi!

Wito: wananchi wanaloomba JWTZ LICHUKUE HATUA kwa kuweka daraja la muda

Kama wewe ni mchaga wa Uru,marangu,machame,kibosho,kilima,rombo,kirua,mwika etc

Jiunge na group letu la watsup,kujionea hali halisi ya moshi kwa sasa hali,sio hali
URU,MACHAME,KBOSHO,MARANG
 
Attachments

  • IMG_20200423_101253.jpg
    IMG_20200423_101253.jpg
    457.3 KB · Views: 2
Yaani mpaka jeshi liwasaidie daraja tu milion 200? Tanload, Halmashauri, Wizara mpaka msaidiwe na JWTZ hebu acheni jeshi letu lilinde mipaka.
 
Hivi huko mbunge ni chama gani vile? Tujue kama mnastahili au hamstahili
 
Yaani mpaka jeshi liwasaidie daraja tu milion 200? Tanload, Halmashauri, Wizara mpaka msaidiwe na JWTZ hebu acheni jeshi letu lilinde mipaka.

Tanload?

Hii itakua ni taasisi mpya iliyoundwa kutengeneza mizinga ya asali na maziwa mgando.
 
Serikali mkoa wa Kilimanjaro,imeshindwa kurekebisha daraja lililosombwa na maji,na kuacha maelfu ya watu wakikosa huduma za msingi!

Daraja hilo limesombwa na maji,baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pia mafuriko kwa wakazi wa moshi!

Wito: wananchi wanaloomba JWTZ LICHUKUE HATUA kwa kuweka daraja la muda

Kama wewe ni mchaga wa Uru,marangu,machame,kibosho,kilima,rombo,kirua,mwika etc

Jiunge na group letu la watsup,kujionea hali halisi ya moshi kwa sasa hali,sio hali
URU,MACHAME,KBOSHO,MARANG
Ww ndo admin wa Hilo group???
 
Back
Top Bottom