Kibajaji-machame
Member
- Apr 19, 2020
- 12
- 2
Nishaweka
Amina
Yaani mpaka jeshi liwasaidie daraja tu milion 200? Tanload, Halmashauri, Wizara mpaka msaidiwe na JWTZ hebu acheni jeshi letu lilinde mipaka.
Kujenga Taifa
NdioDaraja la Kwanza kutoka Rau Madukani kwenda Uru East.
Kujenga taifa
Kuwalimisha vijana mashamba duniaKujenga Taifa
Yaani mpaka jeshi liwasaidie daraja tu milion 200? Tanload, Halmashauri, Wizara mpaka msaidiwe na JWTZ hebu acheni jeshi letu lilinde mipaka.
Ww ndo admin wa Hilo group???Serikali mkoa wa Kilimanjaro,imeshindwa kurekebisha daraja lililosombwa na maji,na kuacha maelfu ya watu wakikosa huduma za msingi!
Daraja hilo limesombwa na maji,baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pia mafuriko kwa wakazi wa moshi!
Wito: wananchi wanaloomba JWTZ LICHUKUE HATUA kwa kuweka daraja la muda
Kama wewe ni mchaga wa Uru,marangu,machame,kibosho,kilima,rombo,kirua,mwika etc
Jiunge na group letu la watsup,kujionea hali halisi ya moshi kwa sasa hali,sio hali
URU,MACHAME,KBOSHO,MARANG