Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Wew Sasa ronja yako na yangu zinafanana ata mi najua tarehe 28 wanaapa ko tusubiri tu japokuwa Kuna mijizi umu umu inatumendea uko inboxTarehe 28 mwez wa kumi vijana wa JWTZ msata wanaapa hivyo tuendelee kuwa na subira
We jamaa nakukumbuka toka enzi za kina MrGeneous duhWanangu wa majeshi komaeni wangine tumeomba mpaka age imetutupa mkono.
Watoto wa kota hawaelewi hilo wao wanashikilia bomba wanataka kaz ya Baba[emoji23][emoji23]Ombeni nafac za polis hizo zimetoka mnasubiria Ronja za Jw... mtasubir sana [emoji1787]
Nimecheka kinoma mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]Watoto wa kota hawaelewi hilo wao wanashikilia bomba wanataka kaz ya Baba
Bakabaka
Mtoto wa kota hata akifikisha miaka 30+ anaamin Baka baka atalivaa tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sifa Kitenge sio [emoji28]Mtoto wa kota hata akifikisha miaka 30+ anaamin Baka baka atalivaa tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakwambiaje mtoto wa kota humwambi kitu kuhusu bakabakaSifa Kitenge sio [emoji28]
Unataka kupata likizo wakat mafunzoya jkt yakianza?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Ukienda Jkt ni kipindi gan unapata likizo au ndio hamna kuondoka mpka miaka miwili ikamilike?????
Ndio maana huwa nakwambiaSema "mke mwenzangu" usidanganye watu.
Ukimaliza miezi sita pale utapewa ka likizo kafupi then utarudi Kambi mpaka hiyo miaka miwili ukiona maisha magumu utaondoka wakati wowote hawalazimishi ila cheti ndo utakikosa utaondoka na namba tu...Ukienda Jkt ni kipindi gan unapata likizo au ndio hamna kuondoka mpka miaka miwili ikamilike?????
Kwa kuwa nimefichuwa siri?Ndio maana huwa nakwambia
Shule Ulienda kusomea ujinga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa mi nimemtapeli nani wew Bib mzurKwa kuwa nimefichuwa siri?
Nani kataja neno "tapeli"? Mbona unajishukushuku bibie?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa mi nimemtapeli nani wew Bib mzur
Upwiru unakukaba koo sio!!!
Ndio maana shule Ulienda kusomea ujinga
Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.Nani kataja neno "tapeli"? Mbona unajishukushuku bibie?
hii sentensi "shule ulieda kusomea ujinga"Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.
Shule Ulienda kusomea ujinga