Inavunjika mahakamani vizuri tu!!kanisani ndo hawavunji,(tena ni baadhi ya makanisa na inategemea na sababu)BT ikishavunjwa mahakamani inakua imeshapoteza uhalali!!!
Na ya serikali inatambuliwa..
So hii ndo inatambuliwa sasa kisheria.
Kwa maana nyingine huyo mke WA 1 kisheria Hana uhalali wowote ht akienda na cheti chake cha ndo mahakamani hakitamsaidia!
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.
Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
Mpwa, huyo unayesema anieleweshe, nimemuuliza tuswali tudogo lakini kama ilivyo kwako, na yeye ameshindwa kujibu! Mpwa siku hizi hunisumbui hata kidogo, najua dawa yako ni kukupigwa maswali tu yanayotokana na mada zako mwenyewe, na kwavile unashindwa kujibu, kinachofuata hapo ni kunikimbia huku ukisubiria huruma za wengine waje kukusaidia!Ebu nisaidie kumuelewesha chige naona kafumba ufahamu wake anajifanya haelewi
Mpwa, huyo unayesema anieleweshe, nimemuuliza tuswali tudogo lakini kama ilivyo kwako, na yeye ameshindwa kujibu! Mpwa siku hizi hunisumbui hata kidogo, najua dawa yako ni kukupigwa maswali tu yanayotokana na mada zako mwenyewe, na kwavile unashindwa kujibu, kinachofuata hapo ni kunikimbia huku ukisubiria huruma za wengine waje kukusaidia!
sijui mmekula maharage ya wapi nyie...mnadiscus ujinga ujinga
Yaan klyn mpaka leo kapangishiwa au??? Sijaelewaaa ●●●●●●♧
=warumi;12374717]Nikimbie niende wapi? Nipo apa apa we jiamini tu.
Warumi tupe story ya Neyo wa mitego na Shamsa ford!
Afu mpwa warumi, jana nilikupa changamoto ya kwamba baadae tuangalie nini maana ya Boss Lady! According to Urban Dictionary, hivi ndivyo wanamuelezea who's Boss Lady:
1. Boss Lady is the woman who is in control. People who have never her see her and feel the need to respect her, and do. Runs the show, is cool and collected, gets the job done. Confident, never looks down. Depends respect and gets it.
Because she demands respect, and gets it, she is the Boss Lady.
2. Is a woman who can accomplish all tasks while remaining beautiful; a good looking woman in an authoritative position in a business (non-sexual); a woman who is successful without the aid of others (although others may help to make things more convenient).
Urban Dictionary: Boss Lady
3. A fermale that is extremely successful, confident, strong and has plenty of power... who's in control, in charge, who holds her own, giving others standards to abide by... who's independent, intelligent, respected knows exactly what she wants and needs and speak her mind.
BeSoBossy.com | The Boss Lifestyle!DEFINITION OF A BOSS LADY... - BeSoBossy.com | The Boss Lifestyle!
Sasa vipi hapo Mpwa, baada ya kuangalia hizo definition za Boss Lady, je Dada K-Lyn bado ana sifa za kuitwa Boss Lady? Ukiniuliza mimi, tukimlinganisha Lady Jay Dee na K-Lyn, naona Jide yupo far better kuwa Boss Lady kuliko K-Lyn!
On her own kivip wakat pesa source ni mume wake ivan?
Tuone bas hata picha ya kile anachomiliki huyu new boss wa afrika mashariki
Sijaona big point apa kuhusu hyo bosslady unayo ijaribu kuipa maana tofauti wakati all in all its the same
K -lyn ndo bosslady jaman, nasikia ana mpunga balaa, n soon anaenda kuishi south na familia yake kwenye mjengo wao uko south port Elizabeth sijui, yan ni shidaaa, mumuache