Hahahahaa eti Mimi nilikuwaga Waziri..
Ndio we nieleze hayo ya zamani ya Jack...Mie sio celebrity!!
Ukiwa muuza utumbo kubali kufatwa na nzi!!
Atasemwa vizuri!!
Si wanataka wenyewe umaarufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio we nieleze hayo ya zamani ya Jack...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ili iweje?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
IPI?!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Alafu mimi na wewe tuna unfinished business..
Nitakwambia..IPI?!!
Okey niende MMUNitakwambia..
we mbibi upoYupo mkuu mengi alishawahi Kuoa na Ana watoto wawil mmoja kafa mmoja yupo hai
Mke wa kwanza wa Mengi alifariki 2006 na kuzikwa nyumbani kwa mengi machame kilimanjaro.
Huyo mzee ni mwingi wa papuchi sana. Labda awe ameacha siku izi. Na ana wivu kupitiliza huyo binti kamuwekea kifaa kinakuwa kinamuonyesha alipo popote hata mzee akienda ulaya anamuona. Kuna siku huyu binti alikuwa na mchepuko ile anafika hitelini mzee akapiga simu na kumueleza alipo na nguo alizovaa binti alirudi kwenye tax hadi nyumbani. Hii ilitokea muda kidogo kama miaka nne iliyopita.
Alikuwa na mke na anawatoto aliefariki ni mkubwa kuliko Jack wameachanaHili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
Limebaki jina tu, kuna ndugu yangu anafanya hapo kwa sasa hakuna kitu. Macha tulikuwa tumekaa nae mikocheni sehemu flani jamaa yangu akaenda msalani yaan dakika mbili nyingi akaanza kumtongoza dame wa mshikaji, swaga zake ohoo Mimi Macha niliyekuwa waziri ahaa demu akamtolea nje coz akujua kama na mimi nipo kampani moja na mshikaji na demu aliona tu haibu kwa sababu mshikaji nae alikuwa kamuokota chuo hapo mlimani siku hiyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ya kwel hayo au furahisha genge?Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Jack hakuwa mtulivu hata kidogo..sema tu umepata alichotaka..ashachapwa sana na mtoto wa kingunge na wengine wengi...sasa hv ndio amepata alichokuwa anatafuta. Imebid atulie
Jokate unamuonea kanajitahidi na ile Brand yake ya kidoti.Nakubaliana nawe ,kawadharau kina wema, jokate, wolper , aunt , lulu n.k ,
Hehehehe wanapenda sifa na swagaHuyu ndio alichagua fursa, yaani hata akiamua akae ndani anaangalia tv tu anauhakika wa kula bata hadi anakufa. Sio wale vinuka mkojo wanaopoteza muda kwa vitoto vikina Harmonize. We waache tu fainali uzeeni
We yanakuhusu nnMke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
huwezi kuona walichofanyaOdemba na millen wamefanya nini zaidi ya kugawa vyandarua vilivyotiwa dawa na malapa?