K u K u M b u S h i a

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
291
Reaction score
198
Wakati UNAFIKIRIA,..


...unafikiri UNAFIKIRIA jinsi UNAVYOKIFIKIRIA unachokifikiri?

Na kama kuna MISINGI ya jinsi ya KUFIKIRIA KITU,...

....labda unauhakika kila mtu anapatia jinsi ya kufikiria vizuri.

Wakati labda ni kweli MOJA YA MATUNDA YA FIKRA ZA BINADAMU kinamna!

Je, ni hili lidunia MKWECHE lenye maisha yafikirishayo?



MIE NAENDELEA kufikiri.....
 
n mtazamo tu [HASHTAG]#fikra[/HASHTAG]
 
baada ya brazil kuchana mikeka watu hawaeleweki kabisaaa.
 
Bado ningali nafikiri mafikirio ya kufikirika na kufikirisha ingawa hayana maana katika safari ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…