Nadhani busara itumike jamani,mtoa ombi alikosea kuwauliza wa dar pekee kumbe hizo nafasi zikitoka zinatangazwa Tanzania nzima labda hajui hilo,pili ni kuhusu ukoseaji wa spelling,kumrekebisha co vibaya lakini namna ya kumrekebisha lugha zilizotumika co nzuri,tuelekezane kwa lugha laini itaeleweka na cku zijazo atajirekebisha na kuwa makini. Wanajf naomba kuwasilisha.