K24 E-NTERACTIVE

K24 E-NTERACTIVE

Joined
Apr 19, 2018
Posts
59
Reaction score
69
Hii kipindi ya TV hufanywa saa moja asubuhi..jana the trios in that morning show clobbered Tz prezo Makufuli on air on the way he is acting like a headmaster...haki hii issues za Tz inawauma aje?
Leo huyu msupuu ako na fair skin na huvaa hair extension that might be mistaken for a bunch of sisal came back again on Lupita Nyongos who sneaked in Kenya for a wedding of a relative...ati anasemaa sisi Kenyans sio kama tanzanians ambao wakionanga celebrities wanashobokea...ati Kenyans were not moved by Lupita's homecoming...huyu dame ni mfala sana...STOP comparing Tz na ujinga...bloodbasketball...am married to a humble beautiful lady..wachana na Tanazaniaans ..thay are not your match. Wachana nao K24..ongea habari ya floods hapa na njaa huko Kilifi..Nyeri women beating their men...tuache ukabila na nepotism...tuongee yetu
1525753604470.jpg
 
Rastaman, punguza dose jombaa hueleweki bana.
Kama nimemuelewa anamaanisha Kulikuwa na kipindi K24 na watangazaji wake wakawa wanajadli Wakenya hawajampokea vizuri Lupita Nyong'o na wanakuwa makauzu sana kwa ma superstar wao tofauti na Tanzania

Na pia wamemponda Rais Magufuli kuwa anaongoza kama Headmaster..sijamuelewa vizuri...kachanganya kiswahili cha mtaani cha Kenya, Kiingereza na Kiswahili.
 
Hii ni jaba zimerunda ndo ukaandika hivi hahahahaha
 
Hii ni jaba zimerunda ndo ukaandika hivi hahahahaha
Amechanganya hadi na kashata, karafuu na kahawa tungu! Kakangu mimi Shekhe naona nikimualika Trump aje atupe maoni yake...siwaelewa eeh? [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii kipindi ya TV hufanywa saa moja asubuhi..jana the trios in that morning show clobbered Tz prezo Makufuli on air on the way he is acting like a headmaster...haki hii issues za Tz inawauma aje?
Leo huyu msupuu ako na fair skin na huvaa hair extension that might be mistaken for a bunch of sisal came back again on Lupita Nyongos who sneaked in Kenya for a wedding of a relative...ati anasemaa sisi Kenyans sio kama tanzanians ambao wakionanga celebrities wanashobokea...ati Kenyans were not moved by Lupita's homecoming...huyu dame ni mfala sana...STOP comparing Tz na ujinga...bloodbasketball...am married to a humble beautiful lady..wachana na Tanazaniaans ..thay are not your match. Wachana nao K24..ongea habari ya floods hapa na njaa huko Kilifi..Nyeri women beating their men...tuache ukabila na nepotism...tuongee yetu View attachment 769762
Karibu sana JF Ras na ujiskie nyumbani.
 
Hehehehe!! Yaani baada kupiga puff kadhaa yale mavitu ukaamua kulogin kwenye JF na kutiririka yako ya moyoni, haya bana tumekuskia na kukupokea, karibu.
 
Low life degenerate bitches. They have no idea what it takes to run a country and create a environment to lift many poor out of poverty.
 
btw Ras... ni risto ya ******** ndio hukuipenda ama ni vile huyo msupa alisema waKenya sio viherehere wakiona celeb kama "wale wengine" wa kujishobokea na kukenua meno?
 
btw Ras... ni risto ya ******** ndio hukuipenda ama ni vile huyo msupa alisema waKenya sio viherehere wakiona celeb kama "wale wengine" wa kujishobokea na kukenua meno?
Let the dead bury dem a own dead...non a dem is paaarfekt...i and i a suffah...stop n look back at wat happened to NaSa boys...cat n mouse game...dem polis chase dem outta town den
 
Back
Top Bottom