KAA CHONJO:"" Upepo wa katiba unapita kwa Kasi ya ajabu""......

KAA CHONJO:"" Upepo wa katiba unapita kwa Kasi ya ajabu""......

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Isee upepo wa katiba unapita kwa kasi ya ajabu

Huko nyuma niliwai kuandika kuwa ikifika muda wa kukusanya maoni
TISS wataleta dude moja la kututoa kwenye reli naona wamefanikiwa
kwa kiasi fulani.

Serikali inapenda mgomo wa madaktari uendelee kusongo huku ikikimbiza
tume ya katiba vijiji kukusanya maoni kwa watu wengine wasiokuwa na uelewa

Kuweni chonjo UPEPO WA KATIBA UNAPITA KWA KASI YA AJABU
 
Inawezekana ikawa na ukweli kwa hili unaloandika,....maana inafahamika waTz tuna kawaida ya kusahau..
hivo ni rahisi na inaonekana hili la katiba mpya saizi halina mashiko sana..
 
mkuu ni kweli kabisa hata sisi uku mjini ni ulimboka tuu
 
siku zinazidi kwenda cdm kimya
Huko kwako mna Tawi la CDM, kama hamna lazima muachwe kwenye mataa. Suala ni kujimobilise. usingojee Dk aje awafungulie tawi. Fanya upesi kuitisha kikao cha wanachama.
 
Back
Top Bottom