Kaamua kwenda kujifunza kiingereza Uganda

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Kijana mmoja baada ya matokeo yake ya kidato cha nne kuwa mabaya sasa ameamua kwanza kwenda kujifunza kiingereza nchini Uganda ili baadae aje arudie mitihani yake. Najiuliza hivi elimu yetu iko sawa kweli maana kule Uganda atafundishwa basic english sawa na mtu ambaye hajaenda shule.
 
Ni bora kiingereza kiwe lugha ya taifa kuliondolea taifa fedheha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…