Kaazi kweli kweli

sikubaliani na hili hata kidogo
mtu mnayekutana naye mkiwa na meno 32 habadili unachokiamini.

Mwanamke wa aina huyo anakuwa cheater toka huko alikotoka. Hapo anakuwa kapata stimulus tu hamna lolote

Wanaume ndio wamefanya wanawake wabadilike,wamechoka kulia kila siku peke yao ndani huku Mume anarudi asubuhi nayeye kwa vile ni binadamu anahitaji faraja.
 
Huo ni ujinga kwa sababu aliyecheat na mke wako sio mwenye jukumu la kuwa mwaminifu kwako. Sema watu hua hawana namna ya kuwaadhibu/ongea na watu wao hivyo wanatafuta pengine pakuondolea hasira. Na wengi wanaofanya hivi ni wale ambao hata wakiambiwa wanaachwa na huyo cheater wataanza kulia wao na kung'ang'ania wasiachwe, ni watu ambao wanaogopa kuachwa na hao wenzi wao hivyo hawawezi kujitoa mhanga na kuwaconfront.
 
kazi sana na huyo dada anaenda kufumania bila mabouncer wa kumlinda
 
Kuna maneno mengi sana matamu watu wanayatumia kuhalalisha kilichoharamu...yote na yote ni kwamba wanasutwa na nafsi zao ndio mana wanatafuta maneno ya kujipoozea...
 
Unavumilia nini? Haina tofauti na ulivyosema huwezi kutolewa ngeu kwaajili ya mtu asiyekuheshimu. Kuvumilia ni aina nyingine ya ngeu.

Hmmm basi wewe utakuwa uko tofauti na 'mademu' wengi wa JF! Hapo kwenye 'mademu' Lizzy atanifinya lol.
 
I guess you are right about that. To some getting cheated on is not an issue at all. And that's the beauty of life. We are all different in all sorts of different ways.
 
sio kuvumilia
lakini kuna vitu vingine unaweza ishi navyo
havikunyimi usingizi

wanawake wengine wanawaacha waume zao sababu hawasapoti familia kifedha, wengine wanawabeba ivoivo
je ukioa mwanamke ambaye hazai utamwacha?
Wapo wengine wanawaache wenzi wao sababu tu hawazai wengine hawaachi
inategemea na wewe kwenye definition yako ya ndoa hilo kosa unalipa kipaumbele gani

Kwa hiyo mwenza akiwa cheater cha muhimu na busara kufanya ni kuvumilia?
 
Kuna maneno mengi sana matamu watu wanayatumia kuhalalisha kilichoharamu...yote na yote ni kwamba wanasutwa na nafsi zao ndio mana wanatafuta maneno ya kujipoozea...

Hahahaha na hayo maneno matamu wanayatumia vizuri kweli. Utasikia tunapunguza tension nyumbani, mara inafanya nimpende mume/mke wangu zaidi. . . alimradi tu wajidanganye angalau sekunde kwamba wanachofanya kina manufaa mpaka kwa wenzi wao.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki . saa nyingine
ndoa hazina faida kwakweli..
 
Huwezi linganisha ukosefu wa kuzaa na kucheat.
Wengi hawapangi kushindwa kuzaa wakati cheaters wote wanapanga kucheat. Kutokuzaa hakumshushii mwenzi heshima , kucheat kunaondoa kabisa.
 
sio kuvumilia
lakini kuna vitu vingine unaweza ishi navyo
havikunyimi usingizi

Sasa si ndo kuvumilia kwenyewe huko au?

wanawake wengine wanawaacha waume zao sababu hawasapoti familia kifedha, wengine wanawabeba ivoivo
je ukioa mwanamke ambaye hazai utamwacha?

Infertility is not a deal breaker for me because it is not of her doing. But on the other hand cheating is. For the umpteenth time, cheating is a premeditated act with serious repercussions.

Wapo wengine wanawaache wenzi wao sababu tu hawazai wengine hawaachi
inategemea na wewe kwenye definition yako ya ndoa hilo kosa unalipa kipaumbele gani

Hapo wala sina ubishi. To each his/her own.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki .
Aluu lugha zingine we wacha tu, hapo unaweza kudhani kitu kipo ndani, na demu kakin'gan'gania.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki . saa nyingine
ndoa hazina faida kwakweli..

AD, would stay with desh desh if he were to beat you up routinely?
 
kwa uzoefu wangu wa mambo haya wengi wanaosema wakichitiwa wanasepa ndio ving'ang'anizi haswa tena hawathubutu kuachana, utamuuliza vipi si ulisema huwezi utasikia we acha tu.....
 
Halafu hii wanawake wanaipenda kweli sijui kwa nini,unasikia fulani ananiibia mume wangu,hapo mume anaachwa vita inakuwa kati ya mke na huyo anayechit na mume.
 
Ujue ni makuzi ndo yanaaffect
kule bara hakuna mambo ya kipwani(hope unanipata) iwe na mwanamke au mwanamme mwingine.

nikigundua mweza anashiriki mambo hayo in any form sisubiri talaka, ni kuondoka bila kufikiri mara mbili. No disikasheni at all.

Lakini wengine naona wako fine tu haiwakeri
kihivyo
I guess you are right about that. To some getting cheated on is not an issue at all. And that's the beauty of life. We are all different in all sorts of different ways.
 
kwa uzoefu wangu wa mambo haya wengi wanaosema wakichitiwa wanasepa ndio ving'ang'anizi haswa tena hawathubutu kuachana, utamuuliza vipi si ulisema huwezi utasikia we acha tu.....

Teh teh teh....nice observation. There is some anecdotal truth to what you say.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…