stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,884 Reaction score 4,479 Nov 20, 2013 #1 Naomba kuelekezwa namna ya kuandaa kababu za nyama enyi wapishi maridadi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Sep 19, 2015 #2 Jamani inamaana hakuna ajuae pishi hilo? farkhina Angel Nylon Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Sep 19, 2015 #3 Hapo kwenye ingredients ongezea bread crumbs ambao utamix na nyama ili ijishike vyema Ukiweka na kindimu kwa mbaali itanoga zaidi Attachments 1442678222889.jpg 44.4 KB · Views: 263
Hapo kwenye ingredients ongezea bread crumbs ambao utamix na nyama ili ijishike vyema Ukiweka na kindimu kwa mbaali itanoga zaidi
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Sep 22, 2015 #4 atoto said: Jamani inamaana hakuna ajuae pishi hilo? farkhina Angel Nylon Click to expand... Lol, thread ya 2013. Atakuwa keshajua huyu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto said: Jamani inamaana hakuna ajuae pishi hilo? farkhina Angel Nylon Click to expand... Lol, thread ya 2013. Atakuwa keshajua huyu.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Sep 22, 2015 #5 BADILI TABIA said: Hapo kwenye ingredients ongezea bread crumbs ambao utamix na nyama ili ijishike vyema Ukiweka na kindimu kwa mbaali itanoga zaidi Click to expand... Mie huchemsha nyama yangu kwanza hadi iwe kavu. Then naweka viungo vyote ulivotaja hapo juu naweka na yai moja nachanganya kwa food processor. Naweka na bread crumbs kdg. Steps nyengine km ulozitaja hapo.
BADILI TABIA said: Hapo kwenye ingredients ongezea bread crumbs ambao utamix na nyama ili ijishike vyema Ukiweka na kindimu kwa mbaali itanoga zaidi Click to expand... Mie huchemsha nyama yangu kwanza hadi iwe kavu. Then naweka viungo vyote ulivotaja hapo juu naweka na yai moja nachanganya kwa food processor. Naweka na bread crumbs kdg. Steps nyengine km ulozitaja hapo.