Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Nauza kabati ya mbao inafaa kwa biashara kama ya vitafunwa, vipodozi,chips n.k
Nimeitengeneza na kuitumia kwa miezi 3 tu.Utabadili kioo cha juu kimepasuka.
Nauza elfu 35 tu,niliitengeneza kwa elfu 70.Iko Wazo Tegeta.
Aliye serious anipigie 0683-796778 au whatsapp 0628-615685.
Sent using Jamii Forums mobile app