Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni la milango mitatu
Material yake ni mdf
Bei ni 350,000
Lipo Sinza Remy
Mawasiliano: 0685661790
View attachment 2356342
View attachment 2356343
Medium density fibreboardMaana ya MDF material ni nn? Tuanzie hapa kwanza
Asante. Kama anaweza nimpatie laki mbili chapu
Nichek whatsapp @ 0733009903Me na kabati la nguo milango mi3 nauza laki 2 la mbao
Pm
Hapana mkuu. Nataka nichukue kabati aina jingine linaloendana na mahitajiUmeishiwa kiasi hicho hadi unauza kabati! Duh! Hicho ni chombo cha nyumbani kwako hata kama kitageuka kuwa makumbusho!
We una ngapi mkuu
Labda laki 2 na nusuAsante. Kama anaweza nimpatie laki mbili chapu
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]MDF=Makabati Dizaini Flani.
Kwa Kweli watz hatujui vitu vingi na ndio maana mnapigwa Bei mnoMdf ndo za kichina au?
Labda laki 2 na nusu
Nilibadilisha mawazo hapo kati lakini now naliuzaKwahiy kwanzia 2022 mpka leo haujapat mteja wa hilo kabati au yapo mengi ni mwendo wa kutoa stoo tu