INAUZWA Kabati la nguo linauzwa

Maana ya MDF material ni nn? Tuanzie hapa kwanza
 
Me na kabati la nguo milango mi3 nauza laki 2 la mbao

Pm
 
Umeishiwa kiasi hicho hadi unauza kabati! Duh! Hicho ni chombo cha nyumbani kwako hata kama kitageuka kuwa makumbusho!
Hapana mkuu. Nataka nichukue kabati aina jingine linaloendana na mahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…