INAUZWA Kabati Milango 3 lenye Kioo linauzwa

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
596
Reaction score
878
Njoo ujichukulie kabati la milago 3 bei ikiwa imepoa sawa na bure.

Upana : Futi 4" 1'
Urefu : Futi 6" 1'
Milango : 3
Bei : Laki 2 na Nusu tu (Tshs.250,000.00)

Kabati lina Kioo cha kujiweka sawa (kurekebisha tai kwa wanaume na kucheki size ya nguo kwa wanawake)

Location : Dar es Salaam - Goba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…