BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
ChinaKabati la vyombo ni la kichina au mbao
Linauzwa kabati chiefMimi nahitaji hivyo vyombo vilivyomo ndani ya kabati.
Nakuachia 60 chiefChukua 45 sofa......
unauza maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nahitaji hivyo vyombo vilivyomo ndani ya kabati.
kwahiyo unalala na masufria kitandani?Awamu hii makabati ni mzigo tu kama hujajenga...
Inafurahishakwahiyo unalala na masufria kitandani?
Mkuu unasubiria niuze na tv niombee nisiuze bitu vyanguMkuu mi nasubiri TV
Kiongozi mi nikajua unatoa vya zamani unaleta vipyaMkuu unasubiria niuze na tv niombee nisiuze bitu vyangu
Masufuria yangu nimeweka kwenye jaba kisha nimelihifadhi uani baada ya kuuza kabati langu.kwahiyo unalala na masufria kitandani?
pole sanaMasufuria yangu nimeweka kwenye jaba kisha nimelihifadhi uani baada ya kuuza kabati langu.