Kabati na washing machine vinauzwa

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,092
Reaction score
986
Habari za asubuhi.

Ninauza kabati la milango mitatu, material ya MDF kwa sh. 350,000

Pia nauza washing machine kwa sh. 550,000
Dolphin, automatic, 12 kg

Inafua, kukamua, na kukausha kwa 90%
Ina miezi miwili tangu inunuliwe na haina shida yoyote

Vyote vinapatikana Sinza kwa Remi

Wasiliana nami kwa namba 0765 079 556

 
Vyote nkupatie laki 7 mkuu,kama upo tayari ntume mtu aje akague sasa hivi avichukue anitumie huku Ipinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…