Mlango wake unafungaje? Au hakuna kufungwa?Kariakoo mtaa wa agrey na sikukuu
Turubai!? Ni tofauti na zile za kichina zenye kitambaa kama nailon?Limetengenezwa na chuma na kitambàa cha turubai
Nikiwa fresh nitakucheki mkuu.Hili ni imara ukiweka sehemu ambayo haina purukushani