CHAUMMA Tanzania Member Joined Oct 1, 2020 Posts 7 Reaction score 22 Oct 22, 2020 #1 Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali. Your browser is not able to display this video.
Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali. Your browser is not able to display this video.
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 22, 2020 #2 Chaumma mko vizuri, msishirikiane na Chadema hawafai
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 22, 2020 #3 Itapendeza sana... Cc: mahondaw
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Oct 22, 2020 #4 CHAUMMA Tanzania said: Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali. View attachment 1608592 Click to expand... Mlikuwa wapi siku zote aisee... Msije jaribu kushirikiana na CHADEMA nadhani hata ninyi mnaona wanacyoropoka ropoka, chama chao hakina sera. Mpo vizuri chauma ila mjitahidi kuelaborate sera ya ubwabwa kwa umma. Nipo tayari kuwasaidia kufafanua kwa lugha rahisi kabisa. 28 October chagua Magufuli na viongozi wa CCM.
CHAUMMA Tanzania said: Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali. View attachment 1608592 Click to expand... Mlikuwa wapi siku zote aisee... Msije jaribu kushirikiana na CHADEMA nadhani hata ninyi mnaona wanacyoropoka ropoka, chama chao hakina sera. Mpo vizuri chauma ila mjitahidi kuelaborate sera ya ubwabwa kwa umma. Nipo tayari kuwasaidia kufafanua kwa lugha rahisi kabisa. 28 October chagua Magufuli na viongozi wa CCM.
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,936 Reaction score 4,947 Oct 22, 2020 #5 Ubwabwa mashuleni!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 22, 2020 #6 Nilifikiri ni Eric Kabendera.