NakaziaUkikua utaacha utoto
Ukikua utaacha utoto
Hamna kabila ni binadam wote. Kuchakaa kwa mtu uzeeni itategemea na matunzo, haina kabilaHapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..
Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,
ila nasikia kuna makabila yanazeeka na sura zao hata ukikuta kizee bado kinavutia .
Ni matunzo tu
Nakushauri usioe maana hata hujui maana na malengo ya ndoa ikiwa issue yako kuu ni uzuri wa uzeeni.Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..
Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,
ila nasikia kuna makabila yanazeeka na sura zao hata ukikuta kizee bado kinavutia .