Kabila gani linaongoza kuachika!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
JAMANI kama mjuavyo vijana wa JF wameanza na moto wa kuoa kwa kuoana
so si mbaya ni vyema wakiwa na familia wakawa wamepaata ka background fulani
cha familia anayoenda kuikwaa.....

Leo hii naomba tuanze na kabila Gani wanaongoza kuachwa ama kuachika then na nyie mnaoenda kuoa mjue mtaanzaje sisemi tuwaache la hasha kama ndie wako mupenzi nawe jaribu kutafuta soln mapema
nini chanzo cha kuwaacha ..yawezekana ni mambo madogo tu yawezekana ni ngumi za usoni kidogo unataka kula kona kwenye ndoa hapana..vumilia ila kabla ya ndoa jua unaoa ama kuolewa na nani
naweza kukaa nae muda gani..usinshangae unaolewa na mtu wa mara anakupiga unakimbia uo ni ujinga kwao ngumi makofi ni upendo ulioje so chungulia uko wapi

Kila la kheri
 
tena wa MARA akikupiga shukuru mungu wengine wanachinja kabisa!!
Lord have mercy n'm
 
Kuna anayetunza kumbukumbu za kitakwimu kwenye hili?
 
wazaramo ...:shut-mouth::shut-mouth:
 

hutopata majibu sahihi hapa. Labda kabila lako!
 
Mara ni kabila lenye wanawake wavumilivu sana,ukimpata wa huko jua umepata kitu cha uhakika.
 
Mimi nionavyo hakuna takwimu sahihi hapa!!! Kabila zote zinaolewa na kuachika mkuu
 
Kabila ambalo mabinti wana midomo mirefu kama chuchunge.
 
kasoro kabila langu. Tunajua kuacha sio kuachwa.

Hii imekaa vizuri kabisa. Na nadhani unaweza kutusaidia. Kwa sababu nyie hamuachwi ila mnaacha tu ina maana mnaoa makabila mengine na kuacha.

Hebu tusaidie Katika wale mnaooa na kuacha kabila lipi linaongoza???
 
Ukisikia Ukabila ndo huu sasa. Tumeanza kuzungumzia makabila mmmhhhh
 
Mimi binafsi wanawake wengi niliowasikia wameachika ni makabila ya;

1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa
 
kabila la kiume ndo wanaachwa zaidi
lakin hawasemwi wazi cz mkike hatangazi na haandiki talaka cz ya watoto na kuwa tegemez lakin moyoni mwao washawaacha adamu zao kitaaaaambo afu et adamu anajifanya kwenda nje akizan home mamaa anamsubiri yeye kumbe menzake anajifanya mjinga tu na kumchora step zake so.....KABILA LA KIUME NDO LINAACHWA ZAID.
nawasilisha kwa upendo na si bfu...haha haha raha mieeeeeee!!!!
 
Mimi binafsi wanawake wengi niliowasikia wameachika ni makabila ya;

1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa

Si kweli, hayo makabila uliyotaja ndoa zao ni za kikristu na huamini ndoa ya kikristu haivunjiki, kwa maana nyingine ni kunyume chake: yaani ndio makabila yanayoongoza kwa kutoachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…