Kabila gani linaongoza kuachika!!!

Nahisi kabila langu, dada zangu wameachika wote! na wanaume tumeacha wake zetu wote! Ukoo wa masingle huu
 
1.Wachagga
2.Wazaramo
3.Wanyakyusa
4.Wahaya
Hakuna kabila lingine ni hawa tu wanaongoza chunguza hahhaha!!!! msiachane lakini wajameni mliopo ndani ya ndoa tayari jaribuni kurekebishana hapa na pale.
 
Mimi binafsi wanawake wengi niliowasikia wameachika ni makabila ya;

1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wanyakyusa

Unamaanisha kuna uhusiano kati ya migomba na kuachika au??????

Kma ndivyo nakata migomba yote home kwangu wasijenipakulia na kutimka nae
 
mimi naona suala la kiachika halina kabila. mungu abarikiwe sana.
 
Nawasalimia nimepita tu hapa ila naona hapanifai hili la makabila naogopa Mi Mtanzania
 
Unamaanisha kuna uhusiano kati ya migomba na kuachika au??????

Kma ndivyo nakata migomba yote home kwangu wasijenipakulia na kutimka nae


ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, migomba ee, acha tutakosa ndizi na mbege bureeee!!
 
Wachaga.na wahaya,wajeuri madai yao wamesoma wengi wao c tegemezi
 
- Makabila yale yanayojishughulisha zaidi na biashara, mf wachaga: kwa sababu ya kukaa mbali na wake zao wanaume wanaanza kuwa unfaithful na baadaye wanawatelekeza wanawake wao wa ndoa na kutwaa mabinti wabichi
- Makabila yenye wanawake wengi waliosoma, mf. wachaga na wahaya, wanyakyusa: hawa wanaonekana kuwa wabishi (yawezekana si kweli katika hali halisi) hivyo wanaume kuwakimbia
- Makabila yale yote ambayo ni matrilineal (yenye ukoo wenye kuegemea kwa wamama/ wajomba): hawa wanakuwa na tabia ya kutawala waume zao na kuwa-command. Wao ndo wenye madaraka katika nyumba. Kwa wanaume wengi hili halivumiliki na hivyo wakichoka wanawatoroka wake zao - mavuvuzela. mf. waluguru, wanyiramba, nk.
 
ha aha ah a ahahahahahahahah eti ngumi za kidogo za uso unakimbia
 
Wazalamo
wamakonde
wamatumbi


hawa mhh wamoo
 
hii dhambi mnayoipanda hapa leo mtaichuma wenyewe, wadogo, kaka na dada zenu pamoja na watoto wenu. Shauri yenu
 
Mara ni kabila lenye wanawake wavumilivu sana,ukimpata wa huko jua umepata kitu cha uhakika.
hakuna kitu huko...ngumi mkononi, ugomvi mdogo tu anakuja na mikuki na mapanga pamoja na marungu...
halaf wanawang'oa Clit...hivyo upande wa kufurahishana ni F...
Nadhani wazaramo wanaongoza kuachika na wanawake wavumilivu ni wanyakyusa na waha wa kigoma.
 
Hakuna mwenye data za kweli hivyo si rahisi kuhisi ni kabila gani
 
Nimeshindwa kuchangia kwani sipendi kuongelea sana mambo ya Ukabila kwani huku ni kupoteza dira ila nijuavyo mke ,mwema mtu hupewa na Mungu na si kwa namna ya ushauri unaotolewa hawa JF. Kuoa hakuna fomula wana JF kuachwa au kuacha kuna tegemea na mahusiano ya mume na mke yalivyoanza bila kujali umeoa mchagga, mnyakyusa au Mhaya au mnyaturu. Nyie mnaotaja makabila najua hamjaoa bado hamjui msemacho tuulizeni sisi tutawapa hints za maana tu
 
ahhhh bwana kuachana si kwaajili ya makabila ni matatizo tu ndani ya ndoa...

mi binafsi naangalia nani atakuwa mzuri kucheza doge ball....... kabila si kutu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…