Kabila gani linaongoza kuachika!!!

unaweza ukawa unajua mapenzi uko chini kubovu haisaidii, besides mapenzi ni sanaa ambayo kabila lolote linaweza kujua likihitaji kujifunza

chini ya uvungu
chini ya hiki kiti nilichokalia
chini ya meza iliyopo computer yangu

hii chini hii, sijui ni chini ipi jamani maty nisaidie
 
utaalamu wa mapenzi unategemea ubunifu wa mtu husika pamoja na majaaliwa ya mwenyezi Mungu katika kuumba vitendea kazi vyake.so kama vitendea kazi vimeumba katika standard inayotakiwa na mtu akawa mbunifu then huyo lazima atakua gwiji kitandani
 
chini ya uvungu
chini ya hiki kiti nilichokalia
chini ya meza iliyopo computer yangu

hii chini hii, sijui ni chini ipi jamani maty nisaidie

nahofia kuchakachua thread ya watu mwisho ihamishiwe jukwaa la wenye ndevu
 
nahofia kuchakachua thread ya watu mwisho ihamishiwe jukwaa la wenye ndevu

Ile post yako ilikuwa na maana sana, sema mimi huo ubovu ndo sijaelewa....magonjwa ya zinaa au ? (i guess kwa kunijibu hutoharibu topic....niko cutious kweli kujua)
 
1.Wachagga
2.Wazaramo
3.Wanyakyusa
4.Wahaya
Hakuna kabila lingine ni hawa tu wanaongoza chunguza hahhaha!!!! msiachane lakini wajameni mliopo ndani ya ndoa tayari jaribuni kurekebishana hapa na pale.

Una maanisha mvulana kumwacha girlfriend wake na msichana kumwacha boyfriend wake?
 

Kutelekeza ni kuacha? Si bado mahitaji yote na mwanamke bado anaishi nyumbani kwa mme wake kijijini?
 
Tatizo hapa kila mtu atataja kabila ambaalo limemzingua kwa namna moja au nyingineLakini kwa ujumla hakuna kabila zuri wala baya, kikubwa ni maadili tu kama mtu kayapuuza Other wise makabila yote ni poa!
 

du rose wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…