Ninachojua ni kwamba wana urembo wa nje ila kimaadili si waelewa kabisa, hawaonywi wakasikia, hawatahadharishwi wakakubali bali hisia zao ziko mbele kuliko akili. Akina mama walioolewa hawajui kuwatunza waume ni kiguu na njia. Kama nabisha fuatilia unyumba wa waziri fulani mwanamke anayetokea Endasak Hanang ambaye naye ni Mwiraq upate habari zake. Majority ya Hawa wa dada na wanawake wa ki-iraq in short "THEY NEVER MAKE A GOOD WIFE" labda uoe kwa ajili ya shughuli nyingine. Nina evidence za kutosha
Wairaq wapo Iraq na hawakai Arusha. Acha uzushi.
Dah mmenitisha, but mi ndo nimefall hivo, kwani cwezi kumbadilisha kitabia?
Mkuu kama ni Wakushi Mbona unanifanya nikapime DNA Naweza jikuta na mimi ni Mkushi na Kushi Walichukuliwa na kupelekwa Israel, na bado wanahitajika kwa Sana kwani walipewa haki zote kama Raia wengine wa Israel... Wacha nikapime DNA Kwa Muda nilikuwa nataka Nitafute Asili yangu Wapi sasa umenipa mwongozo nikijikuta na DNA Zinazofanana na Jew nawakimbieni kwenye Nchi yenu....Mkuu, sina uhakika na Wanyaturu.
Ila Wairaqw ni wahamiaji, hawa wamesafiri toka pande za kaskazini mashariki mwa Afrika na kujikuta wake-settle huku Afrika ya Mashariki. In fact hawa ni Wakushi (Cushites) na si Hamites kama nilivyoandika hapo awali. Kuna kabila lingine dogo lenye Uhusiano na Wairaqw, wanaitwa Wambugu. Hawa wanaishi kata za Malinndi na Kwai wilayani Lushoto, Tanga, sura zao la lugha yao haina tofauti na hawa Wairaqw na chanzo chao ni kimoja.
Mimi namtafuta mmoja wa kuoa, sijui mpaka niende huko Hanangi ndio nimpate?.
Hivi kwanini walipewa jina hilo?, wana uhusiano wowote na wairaq wa baghdad?
Wapo zaidi mkoa wa Manyara,katika wilaya za Babati Mjini na Vijijini, Mbulu na Hanang'. Arusha wapo Karatu.
Hakika ni wazuri. Ila naona jamii yao kama wana katabia ka ubaguzi hivi kwa wale wasio wa kwao! Nimekaa sana pale Babati Mjini,ambapo kuna wafiome (jamii hiyo hiyo ya wairaqw - kama wanyamwezi na wasukuma),kule Dareda,Bashnet,Madunga,Qameyu hadi Merr. Kwa kweli nilikuwa naona hiyo dhana ya ubaguzi. Sasa kama ukiweza kuoa fahamu tu hilo.
Ninachojua ni kwamba wana urembo wa nje ila kimaadili si waelewa kabisa, hawaonywi wakasikia, hawatahadharishwi wakakubali bali hisia zao ziko mbele kuliko akili. Akina mama walioolewa hawajui kuwatunza waume ni kiguu na njia. Kama nabisha fuatilia unyumba wa waziri fulani mwanamke anayetokea Endasak Hanang ambaye naye ni Mwiraq upate habari zake. Majority ya Hawa wa dada na wanawake wa ki-iraq in short "THEY NEVER MAKE A GOOD WIFE" labda uoe kwa ajili ya shughuli nyingine. Nina evidence za kutosha
uzee unakusumbuaNgoja memba mmoja maarufu humu JF kwa jina ni Slaa, yeye ni Mu-Iraq atakuja kupa habari zao kamili, tena huyu ni kiongozi wa chadema, tegemea majibu mazuri kutoka kwake.
Haya Dokta (wa kanoni) lete habari.
Wadau kunadada mmoja toka Arusha kabila ni muiraq, namkubali sana sana sana, lakini sijajua wasifu wa kabila hili, nawaombeni mnisaidie tabia na tamaduni la kabila hili kwa wale wanaolifahamu kiundani zaidi, katika positive na negative way.
God wanna bless you.