David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,895
Uje na kwangu mm nipo hapahapa sizidishi pombeNdio,tena huwa tunabadilishana na wanaume,huku kwetu wakizidisha pombe tunawafuata wakenya
😀😀😀Ndio,tena huwa tunabadilishana na wanaume,huku kwetu wakizidisha pombe tunawafuata wakenya
Tofauti kabisa hayo ni majina tu lakin hawafanani hata robo wameru watanzania ni wachaga wa machameHabari za wakati huu wakuu,
Binafsi ningependa kufahamu kabila la Wameru linalopatikana mkoani ARUSHA na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara wilaya ya Simanjiro, linautofauti na Wameru wanaopatikana nchini Kenya?
Yeah ni kweli kabisa ..hata wakiongea wameru na wamachame wanaelewana vizuriWameru wa Arusha ni Wamachame waliolowea Arusha tu.
Nahisi hilo jina Wameru .. limeakisi tabia zao kama ukorofi NK.. nahisi hata bangi wanavuta ya aina moja.Habari za wakati huu wakuu,
Binafsi ningependa kufahamu kabila la Wameru linalopatikana mkoani ARUSHA na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara wilaya ya Simanjiro, linautofauti na Wameru wanaopatikana nchini Kenya?