Kabila la wasukuma

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
562
Reaction score
319
Wajue Wasukuma..
Wasukuma ni Wabantu wanaopatikana katika mwambao wa Ziwa Nyanza.Wasukuma wamegawanyika katika koo zaidi ya 80.

Wanafahamiana kwa koo na tawala zao.
Jamii hii ya Wasukuma ni Wafugaji na Wakulima.

Kabila hili limegawanyika katika pande nne kuu

Sukuma(yaani kaskazini)....hizi ni koo ambazo ziko kaskazini mwa koo zilizo kusini.

Kuna koo zilizo kusini kama vile wanyamwezi,,katika kabila la Wasukuma,huwa hawaitwi wanyamwezi,wanaitwa Wadakama(yaani wa kusini)
Wote hawa wanasikilizana lakini wao hutambuana kwa rafudhi,yaani matamshi.ila wageni ndio waliwaita Wanyamwezi.

Kuna wa kiya(Yaani mashariki)hii ni jamii kama vile koo za Ntuzu huko bariadi,ni vizaria vya koo za jamii za kaskazini,yaani Sukuma.

Tabia za Wasukuma:
Wasukuma wanatabia ya kuheshimu mila zao na kukuza utamaduni wao,,
Msukuma anaoa wake zaidi ya mmoja
na pia anapohamia katika jamii flani,,
anatabia ya kuzungumza lugha yake ya
Taifa la Wasukuma lengo ni kutakata kuhodhi tamaduni za makabila mengine n.k.

Jamii hii ni tajiri sana,(Ngo'ombe)ndio maana walikuwa wanakataa kusoma,,hawakuamini shule inaweza kukutoa kwenye ujinga na umasikini,,
Wasukuma waliamini

Wasukuma kwa sasa ,ndio wachimba madini, wafanyabiashara wa maduka ya jumla na rejareja.pia ni wauza madini
aina ya dhahabu.

Elimu:
Kwasasa Wasukuma wanasoma sana
Wanatumia rasilimali zao kusomesha watoto wao...

Wasukuma si watu wa kulalamika,wanaamini katika kazi
Ndio maana hata Magufuli anatumia hiyo slogan...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vizuli,Sasa mbona unaleta siasa?Magufuli anaingiaje hapo.
 
Huyu jamaa alichekesha et siku zote hajawahi kujitambulisha kama msukuma ila baada ya kupewa ukatibu mkuu ndiyo anakumbuka kwamba yeye ni msukuma,!

Kasheshe inakuja kwenye majina et marehemu baba yangu alikuwa anaitwa John Michale Dalali ,yeye anaitwa John Mnyika ....swali la msingi mbona majina yote unayoyatumia hakuna jina hata moja la baba yako au tangu lini wasukuma wamegeuka kuwa matlnear society????yaani full vituko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aione Mmawia .....!
 
Konyo zama faka walai dah! Yaani hapa ndo ushamaliza tena hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vizuri nikajua kuna kitu nitaongezea kichwani kumbe yale yale tu lengo ni kusifu na kuabudu, umeelezea pande tatu tu (Dakama, Kiya, Sukuma) ila umesahau Ng’weli (magharibi) huko mikoa ya Geita et al.... ulikuwa na ulazima gani hapo kumtaja huyo unayedhani ni msukuma..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…