HIVI UNAJUA KUSOMA VIZURI?? Au unakurupuka tena kwa kujiamini?!! mtoa mada Ameelezea kabsaa hayo mabishano yao wamebishana KAZINI, ndio akaihamishia mada hapa, Wewe unakuja na story za kwengine mchana kwengine Usiku, Sijui wengine wanasafiri hao wanahusiana nini na statement yangu????Saa za kazi tumetofautiana sana, wengine usiku, wengine mchana na wengine wanachati huku wanasafiri na mabasi je wasichati sababu ni mchana?
Jiongeze mkuu
Ila ya watu wa kigoma yako chini sana kuliko kawaidawanawake wa Kigoma
Wewe ni mkhulu au Daudy Maliyamungu??Simple mind discuss people
Teheheheheee hopeless + pointless =Hopepointless..............................
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji85]Tuache masikhara Mataqqo yapo Bukoba sema maji sana huko mbele. Sijui kwa sababu ya Ndizi na mboh reja reja?