Kabila lipi hapa nchini linaongoza kwa kupenda kulelewa na wanawake

Kabila lipi hapa nchini linaongoza kwa kupenda kulelewa na wanawake

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Wapo wanaume wasio fanya kazi ila wanataka kulelewa na kuhongwa, ni kabila lipi linaongoza kwa tabia hiyo maana hata kuoa hawataki.
 
Wanaume kutokea singida na dodoma wengi wao wako nyolonyolo sana
 
Hata ww unaweza ukawa moja wapo kwa sababu hio sio sifa ya asili hua inatokea tu mwanamke kumlea mwanaume so hatawewe unaweza funter ww
 
Back
Top Bottom