Kabla, Baada ya kuoa/kuolewa huwa hivi.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
DUU HAYA NDIYO MAPENZI YA KIBONGO BWANA UTAIPENDA TU.
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-

MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!

Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…